Tunashuti sherehe mbali mbali na tuna shuti video aina zoote Ze Make Official Entertainment

27 Mar 2014

HATIMAYE YULE VIDEO QUEEN WA KIBONGO ALIYETIKISA MITANDAO KWA PICHA ZA NONINO ACHEZESHWA FILAMU!, BEHIND THE SN [PHOTOS]



Actress 
 Sapna na Director/Actor Mtunisy wakifanya yao mbele ya Camera.

M
 sanii mkongwe katika tasnia ya filamu hapa nchini  aamua kuwabadilisha wale walio pinda kuwaweka kwenye filamu baada ya kumchukua sapna yule Video kwin aliyetikisa mitandaoni kwa picha za utupu na
kumchezesha filamu yake hatimaye kukiri kutorudia tena tena vitendo hivyo vya kupiga picha chafu...!!!

Mtunisy  alifunguka kwamba mchakato huo wa kuwabadilisha dada zetu kutoka kwenye tabia zisizoipendeza jamii hautoishia kwenye filamu hiyo bali ataendelea kuwabadilisha siku hadi siku,

Lengo lkiwa ni kuifanya Bongo Movies iwe kimaadili zaidi hasa ya kiafrika na sio vinginevyo, Alisema mtunisy.


Kabuti Onyango the best Camera man akiwa location na Mtoto Sapna yani harakati za kushoot.

No comments:

Post a Comment

 

Luka Lee ft Young Rafa

Live Score

oka d ft jos p