Tunashuti sherehe mbali mbali na tuna shuti video aina zoote Ze Make Official Entertainment

25 Mar 2014

INASIKITISHA SANA!! MDADA HUYU WA KAZI ACHARANGWA NA VIWEMBE USONI TAZAMA PICHA HIYO HAPA.



DADA huyu mkazi wa Same mkoani Kilimanjaro alijeruhiwa vibaya sehemu za usoni na kitu chenye ncha kali kikihisiwa kuwa ni kiwembe, 
Tukio hilo lilijiri siku ya Jumapili Wiki iliyopita, 
Chanzo cha habari kilieleza kuwa ugomvi ulisababishwa na wivu wa mapenzi. 
Chanzo hakikutaja jina laDada huyu wala mtuhumiwa mpaka sasa Dada huyu yupo Hospitali ya wilaya Same. Taarifa zaidi endelea kufatilia hapa.

No comments:

Post a Comment

 

Luka Lee ft Young Rafa

Live Score

oka d ft jos p