Video Mpya: Innocent Mkumba Feat. Belle 9- Mapenzi yako
posted 11 hours ago by admin
Innocent Mkumba ni jina la msanii wa Rock Mwanza anayeweza kuwekwa katika orodha ya waimbaji bora wanaishi kanda ya ziwa wanatakiwa kuwa kwenye orodha ya waimbaji wakubwa Tanzania kwa uwezo wake wa kuimba.
Wanasema ‘Bahari tulivu haimpimi nahodha mzuri’, hapa amekutana na moja kati ya ‘best vocalists’ Tanzania, Belle 9 aliyempa shavu kwenye wimbo wake unaoitwa ‘Mapenzi Yako’. Unaweza kuupima uwezo wake kwa jinsi alivyofanya kazi moja na mkali wa Morogoro.
Wimbo umetayrishwa na Tiddy Hotter katika studio za One Love FX, na video imeongozwa na Hypa Ibadah wa One Love FX.
|
18 Feb 2014
Video Mpya: Innocent Mkumba Feat. Belle 9- Mapenzi yako
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment