TAZAMA PICHA ZA UTENGEZAJI WA VIDEO MPYA YA BONGE LA NYAU FT ALI KIBA - UAMINIFU:
Bonge la Nyau ameshoot video ya wimbo wake mpya ‘Uaminifu’ aliyomshirikisha Ali Kiba. Wimbo umefanyika kwenye studio za Sharobaro Recs na video imefanywa na kampuni ya Kwetu Studio. Hizi ni picha za uchukuaji wa video hiyo.
No comments:
Post a Comment