Tunashuti sherehe mbali mbali na tuna shuti video aina zoote Ze Make Official Entertainment

1 Apr 2014

OMG...!! WATANGAZAJI WA TELEVISHENI WAAMUA KUTANGAZA KIPINDI WAKIWA WATUPU KAMA WALIVYOZALIWA...!! TAZAMA VIDEO HAPA P


Watangazaji wawili wa kipindi cha televishen "The View" wamewapa watazamaji wao mshangao pale walipovua nguo zao na kubaki uchi wakati show hiyo ikiendelea
Sherri Shepard na Jenny McCarthy wliamua kubadilisha mambo na kutangaza kipindi chao wakiwa uchi wa mnyama.
Watazamaji hawakuonekana kujali kutokana na tukio hilo na kuwapigia makofi na kelele nyingi

No comments:

Post a Comment

 

Luka Lee ft Young Rafa

Live Score

oka d ft jos p