Social Icons

Tunashuti sherehe mbali mbali na tuna shuti video aina zoote Ze Make Official Entertainment

Featured Posts

12 Apr 2014

NEW MUSIC VIDEO: LADY JAY DEE - "NASIMAMA"

Ikiwa zimepita dakika 15 tuu tangu aiachie video yake hewani, blog yako ya kijanja zaidi www.akonshazmusic.blogspot.com inaenda sawa na wajanja wote na ukitaka kuamini hilo fanya unabofya hiyo video ya Jide then icheck kabla watu 100 Tanzania nzima hawajaichek xoxo take your time & watch'out the video..!

7 Apr 2014

TAZAMA PICHA 10 ZA JAMAA ALIYEANGUA KILIO KIKUBWA KISA ATAKA KUPIGA PICHA NA DIAMOND PLATNUMZ...!!

  HIKI NDO ALICHOKISEMA DIAMOND KUHUSANA NA TUKIO HILO
 Usiku uliopita umekuwa ni usiku wa furaha kwangu,baada
 ya dada angu kuzindua video yake ya WANATETEMEKA
 kwa,mafanikio makubwa..lakin tukio la huyu kijana 
aliyeangua kilio  akishinikiza anione
 na kupiga picha,ni tukio ambalo limenionesha ni kiasi gani nina
 watu out there walio upande wangu,watu
 wanaonipenda kwa dhat kabisa.
nikiwa backstage
 kulikokuwa kumejaa kidogo,alijitokeza kijana huyu
ambae
bahat mbaya sikuweza kumwona mapema..
mpaka niliposkia akilia,alikuwa akishinikiza
 apewe nafasi ya kuniona na kupiga picha,but kulingana
 na utaratibu wa kiusalama mlinzi alimzuia na ndipo 
alipoanza kulia mfululizo..na hata alipopata 
nafasi tukaonana na kupiga picha ni kama nilimwongeza spiidi ya kuendelea kulia
 mpka mda wangu wa kupanda stejini ulipofika..
nilipomaliza show na kurudi garini tayari kwa
 kuondoka alinifata akiwa na ombi lile lile,kupiga
 picha nilishuka nikazungumza nae kisha tukapiga picha na kuagana ....!!
NAWAPENDA SANA MASHABIKI WANGU
 Backstage.furaha iliporudi, baada ya kuonana nae na kupiga picha wote
 Nikijaribu kumbembeleza 
  akimpa mkono,lakini hii haikuwa shida yake,alitaka wapige picha tena 

Ilibidi Diamond ashuke kabisa kwenye gari ,akazungumza
 nae nakupiga picha ndipo akatulia

Akielezea furaha yake na sababu ya kufanya vile
 
Luka Lee ft Young Rafa

Live Score

oka d ft jos p