Tunashuti sherehe mbali mbali na tuna shuti video aina zoote Ze Make Official Entertainment

6 Apr 2014

HIVI NDIVYO DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOMSUPRIZE QUEEN DARLIN JANA KWENYE UZINDUZI WA KICHUPA KIPYA ILIYOFANYIKA BILLZ, PICHA ZOTE ZIPO HAPA


Dakika chache zilizopita ,imefanyika show
 kubwa ya Kuzindua  kichupa kipya,cha Dada angu mpenzi,Queen Darlin,WANATETEMEKA..show imefanyika
 ndani ya ukumbi wa Billz posta. ambapo
 mimi pia nilifanya suprise ya kumsapoti 
dada angu stejini..kama ulikosa hizi ni baadhi ya picha...!!!

 Mimi,Halima kimwana na Shetta  tukifanya "UKODAKI "Nje ya ukumbi dakika chache kabla ya show..
 Shetta nae alikuwepo,hapa akitaniana na Queen Darlin
 Backstage nikisalimiana na dada angu,Queen Darlin
 kazi ikaanza


 Nikafanya suprise kama hivi




No comments:

Post a Comment

 

Luka Lee ft Young Rafa

Live Score

oka d ft jos p