Tunashuti sherehe mbali mbali na tuna shuti video aina zoote Ze Make Official Entertainment

2 Apr 2014

Hii ndo iko kamili Sikiliza hapa wimbo mpya wa Prof. Jay amemshirikisha Diamond Platnumz – Kipi Sijasikia. ukiwa umekamilika





Muziki huu umewakutanisha watu wawili kufanya kazi ya pamoja ni kutoka kwa mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva Prof. Jay hapa kamshirikisha Diamond Platnumz,wimbo unaitwa Kipi Sijasikia umetengenezwa studio za Bongo Records na Producer ni P.funk.
Prof
Bonyeza play kusikiliza.

No comments:

Post a Comment

 

Luka Lee ft Young Rafa

Live Score

oka d ft jos p