Tunashuti sherehe mbali mbali na tuna shuti video aina zoote Ze Make Official Entertainment

5 Apr 2014

CHEKI PICHA ZA SHOW YA MSANII MIRROR NDANI YA PARIS CLUB LINDI


show mirror.2Msanii wa Kizazi kipya anayefanya muziki wa miondoko ya Bongo fleva nchini Tanzania Leo amebahatika kufanya show ndani ya Mkoa wa Lindi katika Ukumbi wa Usiku ujulikanao kama Paris Club.show mirror.10Msanii huyo alipanda stejini na kuwatumbuizwa wapenzi wa Miondoko hiyo waliojitokeza kushuhudia show hiyo naye aliwapa kile wanachostahili kupewa.
Hizi ni Baadhi ya Picha Katika Show hiyo iliyofanyika Usiku wa Kuamkia Leo:show mirror.3
show mirror.4Show hiyo ilisindikizwa na Wasanii wa hapa Nyumbani:Shazi
nasozi
show mirrorBaada ya Show hiyo Msanii Mirror aliweza kushow love na Mashabiki wake kwa kupiga Picha Mbili tatu kama Paparazi wetu alivyoweza kuzinasa picha hizo zinazo onekana hapo chini.show mirror.5
show mirror.9
show mirror.8

No comments:

Post a Comment

 

Luka Lee ft Young Rafa

Live Score

oka d ft jos p