Tunashuti sherehe mbali mbali na tuna shuti video aina zoote Ze Make Official Entertainment

4 Mar 2014

MSANII LORD EYEZ MBALONI KWA TUHUMA YA WIZI WA LAPTOP









Msanii kutoka kundi La Weusi ‘Lord Eyez’ amekumbwa na Tuhuma ya wizi wa Laptop aina ya ‘Dell’ ikiwa ndani ya gari. Utafiti huo ulimbaini msanii huyo akiwa na wenzake waliovunja kioo cha gari katika Hoteli ya Shiva ya jijini Arusha na kuiba Laptop aina ya Dell, baada ya wahusika kutoa taarifa kituo cha polisi na uchunguzi ulianza siku ya ijumaa. Mtego huo ulipo kamilika na kugundulika ndipo Lord Eyez ndiye muhusika akakamatwa na Polisi usiku wa Jumamosi kuamkia Jumapili, hadi sasa msanii huyo bado yupo Lumande akiisaidia polisi 

No comments:

Post a Comment

 

Luka Lee ft Young Rafa

Live Score

oka d ft jos p