Tunashuti sherehe mbali mbali na tuna shuti video aina zoote Ze Make Official Entertainment

25 Feb 2014

TAZAMA VIDEO CLIP HII UJIONEE MATUKIO YOOOTE YA SHOOTING YA MY NO 1 REMIX DIAMOND PLATNUMZ FAET DAVIDO



Baadaa ya kutoka kwa video ya ‘my number one remix’ mwezi mmoja uliopita, hii ni time ya fans wa Diamond kupata nafasi ya

kutazama jinsi video hii ilivyokua ikitengenezwa huko Nigeria.
Kwenye hii video utamuona Davido, Diamond, B-Red na wengine wakizungumza pamoja na zile mishemishe za upigaji picha. VIDEO HII HAPA CHINI..

No comments:

Post a Comment

 

Luka Lee ft Young Rafa

Live Score

oka d ft jos p