Tunashuti sherehe mbali mbali na tuna shuti video aina zoote Ze Make Official Entertainment

27 Feb 2014

SAMAHANI PICHA ZINATISHA SANA...MAMA WA DIWANI AUAWA KIKATILI HUKO TABORA...

Mauti ya kikatili ya mama anayedaiwa kuwa ni mzazi wa diwani wa viti maalumu wa Bukumbi huko wilaya ya Uyui mkoani Tabora yametokea jana tar. 26.02.2014. Kwa mujibu wa chanzo chetu kikiwasiliana na aloyson.com imedaiwa kuwa polisi wanaendelea na uchunguzi wa chanzo cha kifo hicho cha kuvamiwa mwanamke huyo na watu wasiofahamika



No comments:

Post a Comment

 

Luka Lee ft Young Rafa

Live Score

oka d ft jos p