Tunashuti sherehe mbali mbali na tuna shuti video aina zoote Ze Make Official Entertainment

26 Feb 2014

PNC arudi kuomba msamaha kwa Boss wake OSTAZ JUMA

(
News) Msanii PNC arudi kuomba msamaha kwa Boss wake OSTAZ JUMA

Baada ya kutimuliwa MTANASHATI msanii PNC arudi mikono nyuma akimuomba boss wake Ostaz Juma arudi tena katika lebo hiyo. Picha hii imeonekana katika account ya facebook ya Ostaz Juma ikisema

“hahaha jamani mziki ni kazi

pnc arudi kuomba msamaha ili aendelee kufanya kazi mtanashati”

No comments:

Post a Comment

 

Luka Lee ft Young Rafa

Live Score

oka d ft jos p