Tunashuti sherehe mbali mbali na tuna shuti video aina zoote Ze Make Official Entertainment

26 Feb 2014

MR BLUE.MAANDALIZI YA MWISHO”PESA”



Pesa ni nyimbo iliyomfanya mkali Mr blue kuwa gumzo zaidi katika kipindi hiki baada ya kuwa kimya kwa kipindi cha nyuma kwa madai ya majukumu ya kifamilia.
 Lakini Mr blue akadhihirisha ukali na ukubwa wake kwenye muziki wa bongo fleva baada ya kutoa nyimbo ya pesa.Ambayo mashabiki wameipokea vizuri na kupelekea kufanya vizuri katika chati mbalimbali za radio hapa inchini.
 Mr blue aliiambia Team tizniz”Mashabiki wasubiri ujio mpya wa Pesa ambao utakuwa ni katika video sasa baada ya kufanya vizuri katika audio,na sasa ipo katika maandalizi ya mwisho.Aliyefanya hii video atajulikana tu baada ya video kutoka rasmi.
Team tizniz

No comments:

Post a Comment

 

Luka Lee ft Young Rafa

Live Score

oka d ft jos p