nyimbo ya msanii chipukizi ambayo kila anayesikiliza anatoa coment yake pekee juu yakile alichokisema cheki hapa baadhi ya mashairi yaliyo
mtari mmoja unasema naanza na wasaniii wa bongo mnaojifanya matawi wakati kwenu majumba ya undongo.......sooon kaaa mkao wa kulaa nisimalize utamu
hawa nibaadhi ya wasaanii alio wazungumzia kwenye nyimbo yake hiyo
loding..............oka dkama bwayi bwayi mzigo umejaaa utaaaa takuanzia video hadi audio ngoma inaitwa dis dot com yake Oka d ft Jos p mzigo jumapili utakuwa kwahewa nani kadisi wa kaaa mkao wakula full funzo kwa wasanii wakubwa
No comments:
Post a Comment