Tunashuti sherehe mbali mbali na tuna shuti video aina zoote Ze Make Official Entertainment

14 Mar 2014

LULU ASEMA "NIKIPATA MIMBA TENA SIFANYI TENA KOSA, NAZAA TU!" JE ALIWAHI KUTOA MIMBA??? SOMA HAPA

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhCK1Cl7akM_fzQkyj3GDvZdhIjVm4e0TNbqouxR3U6L9VLzIsmOPtyMQSwt4IDhZtCeKNmfxvcM14mW_16_HWmgT_byOc9x_s6L9g6i5TjqdXARS4bknM7fVwBXpShyzAXKqp3aoinies/s640/blogger-image--686161013.jpgSTAA wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa kama siku yoyote atapata ujauzito kwa bahati mbaya, hatafanya kosa tena, atazaa tu. Katika mahojiano maalum na gazeti hili juzikati, Lulu alisema kwa sasa yuko tayari kuolewa ili awe na familia yake ila si kwa sharti la mwanaume husika kumwambia amzalie kisha ndiyo amuoe.
Elizabeth Michael ‘Lulu’.
 Ijumaa: Kwani kwa sasa si una mpenzi? Lulu: Ndiyo ila bado sijapanga swala la kufunga naye ndoa. Ijumaa: Kwa hiyo umesema ukipata mimba kwa bahati mbaya hutofanya misteki lazima uzae, unaweza kuniambia ni misteki gani? Lulu:
 Nadhani maswali yako uliyoniuliza nimekujibu kiufasaha kabisa hilo siwezi kulijibu. Ijumaa linahisi kosa ambalo Lulu hatalirudia tena ni la kutoa mimba, kitu ambacho hataki kukizungumzia.
GPL
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

No comments:

Post a Comment

 

Luka Lee ft Young Rafa

Live Score

oka d ft jos p