Tunashuti sherehe mbali mbali na tuna shuti video aina zoote Ze Make Official Entertainment

4 Mar 2014

LAANA SIO BURE..HUDDAH KAPILIZA SASA...ATUPIAMO PICHA AKINGONOKA NA NJEMBA MTANDAONI...



Mwanadada mwenye vituko vya kutosha Huddah Monroe maarufu kama boss lady hivi karibuni huenda akatupwa mahakamani baada ya kuvunja sheria na kuweka mambo ya ndani hadharani.
Huddah safari hii ametupia picha kwenye mtandao akionekana yupo na njemba wanavunja amri ya sita bila hata ya kuwa presha wala wasiwasi wowote, hakika mdada huyu huenda ana matatizo na sio bure tu... 

No comments:

Post a Comment

 

Luka Lee ft Young Rafa

Live Score

oka d ft jos p