Dereva wa bodo boda amevunja sheria lakini amekuwa mbishi yani hakubali kosa lake na kuanza kutoa maneno machafu utadhani yeye ndiye mwenye katunga sheria, Kutoa faini hataki na hakubali kosa lake, yani anabishana na sheria, Ila kitu nilichogundua ni kwamba baadhi ya madereva wanachanganyikiwa na hizo bara bara yani kuanzia bara bara ya 6 mpk ya 11, Sasa kama zilikuwa zinakuchanganya nakuelewesha sasa, barabara inayoanza niya 6 ambayo inashuka lkn huwezi kupanda na ukipanda utakuwa umefunja sheria na barabara inayofwata niya 7 ambayo inapanda na ya 8 Inashuka na ya 9 inapanda ya 10 inashuka, utaratibu ndio huo kwa wale wenye vyombo vya moto: |
|
No comments:
Post a Comment