Mto huu wa maajabu uko katika Mji ujulikanao kama Enugu uliopo Kusini Mashariki mwa Nchi yaNigeria yasemekana umekuwa ukiwaponya wagonjwa Mbali
Imeripotiwa kuwa Watu wengi Kutoka Mataifa Mbalimbali wamefurika katika Mji huo kwenda kupata tiba kutoka katika Mto huo, Mto Huo ulivyokuwa wa Maajabu hauko sawa na Mito mingine kwani Maji yake ni Machafu kupita kiasi na Pia hutoa harufu mbaya sana Lakini Wagonjwa Hilo kwao si Shida kwani wakotayari hata kwa Kupiga Mbizi katika Maji hayo bila kujali uchafu huo wala Harufu mbaya ya Maji hayo.
Hebu Jionee mwenyewe katika VIDEO HII HAPA
No comments:
Post a Comment