Tunashuti sherehe mbali mbali na tuna shuti video aina zoote Ze Make Official Entertainment

18 Feb 2014

VANESSA MDEE ANAKUJA NA KIPINDI KIPYA CHA TV KITAKACHOITWA "THE ONE SHOW" SOMA HAPA ZAIDI

 

   

Vanessa Mdee

Mwanadada Vee Money sasa anatarajiwa kuonekana katika kituo kipya cha televisheni, Tv1 na atakuwa anaongoza talk show mpya kabisa itakayojulikana kwa jina la 'The One Show'. 

Vanessa amesema show hiyo itakuwa ikiwahoji watu maarufu katika tasnia ya burudani nchini kuanzia wasanii wa muziki, filamu na wengineo.

Vee amesema tayari wameanza kurekodi vipindi na show itaanza kuruka mwezi ujao.

No comments:

Post a Comment

 

Luka Lee ft Young Rafa

Live Score

oka d ft jos p